Kuhusu Sisi

Kuhusu Sisi2026-01-21T22:15:58+00:00

Kuhusu Glorious web design

Glorious Web Design ni wabobevu zaidi ya miaka 10, tunatengeneza tovuti za kisasa na kuboresha tovuti za zamani kuzipa muonekano wa kisasa kulingana na teknolojia zilizopo sasa. Tunapatika Dodoma Tanzania, pia tunaweza kuifanya kazi yako kwa njia ya mtandao popote ulipo.
Sisi si timu ya ya kidijitali lengo ni kuhakikisha biashara yako inaenda kidigita zaidi. Tovuti ni zaidi ya mitandao ya kijamii, taarifa zake zinaaminika zaidi pia wateja wanajenga uaminifu zaidi kako
Tunatoa huduma za usanifu wa tovuti (Web Design), Kusajili domain names, Ku-host tovuti, Kusimamia mitandao ya kijamii pamoja na uboreshaji wa injini za utafutaji (SEO).

Baadhi ya Kazi zetu

Kazi bora na kwa wakati

  • Tovuti huaminika zaidi kuliko mitandao ya kijamii

  • Tovuti inatangaza bishara/huduma ndani na nje ya nchi 24/7

  • Wasiliana nasi tukuambie kwanini unahitaji au huitaji tovuti kwenye biashara yako

read our FAQ’s

Sina picha zenye ubora kwa ajili tovuti2026-01-21T20:05:02+00:00

Usijali, tutakushauri na kukusaidia kupiga picha nzuri zitakazotumika kutengeneza au kuboresha tovuti yako

Je, mnatoa msaada baada ya kukabidhi tovuti?2026-01-21T20:01:06+00:00

Ndiyo. Tunatoa msaada wa kiufundi, marekebisho madogo, na ushauri wa matumizi ya tovuti hata baada ya kukabidhi mradi, kulingana na makubaliano.

Glorious Web Design ni nini?2026-01-21T19:53:00+00:00

Glorious Web Design ni kampuni ya kitaalamu ya utengenezaji wa tovuti Dodoma, Tanzania. Tunasaidia biashara na taasisi kuwa na uwepo bora mtandaoni kupitia tovuti za kisasa na zinazovutia ili kupata wateja na kuongeza mauzo.

Je, mnatengeneza tovuti kwa aina gani za biashara?2026-01-21T19:55:59+00:00

Tunatengeneza tovuti kwa biashara ndogo, za kati na kubwa, taasisi, mashirika, makanisa, shule, na watu binafsi kulingana na mahitaji yao.

Inachukua muda gani kutengeneza tovuti?2026-01-21T19:58:12+00:00

Kwa kawaida, kutengeneza tovuti huchukua kati ya siku 4 hadi 7, kulingana na ukubwa wa mradi na mahitaji ya mteja pia itategemea upatikanaji wa taarifa na picha.

Je, tovuti zenu zinaonekana vizuri kwenye simu?2026-01-21T19:59:35+00:00

Ndiyo. Tovuti zote tunazotengeneza ni responsive, yaani zinaonekana na kufanya kazi vizuri kwenye simu, tablet na kompyuta.

Mawasiliano

Go to Top