
Facebook, Instagram na WhatsApp ni nzuri – lakini hazitoshi kuipeleka biashara yako hatua ya juu.
Tovuti ni ofisi yako rasmi mtandaoni.
Mitandao ya kijamii ni kama kodi ya fremu – leo ipo, kesho kanuni zinabadilika.
Faida za kuwa na tovuti ukilinganisha na mitandao ya kijamii
- Biashara yako inaonekana muda wote (24/7)
Tovuti inafanya kazi hata ukiwa umelala. Wateja wanakupata wakati wowote. - Unamiliki tovuti yako – si mtu mwingine
Mitandao ya kijamii inaweza kufunga akaunti yako bila taarifa.
Tovuti ni mali yako kabisa. - Inaongeza uaminifu kwa wateja
Wateja wengi huamini zaidi biashara yenye tovuti rasmi kuliko ukurasa wa mitandao ya kijamii pekee. - Inakusaidia kuonekana Google (SEO)
Wateja wanapotafuta huduma zako Google, tovuti yako ndiyo inaonekana, si post ya Facebook. - Rahisi kupokea wateja na mauzo
Kupitia tovuti unaweza:
- Kupokea mawasiliano
- Kuuza bidhaa
- Kuonyesha huduma zako kwa mpangilio mzuri
Glorious Web Design – Tunakutengenezea tovuti ya kisasa, rahisi kutumia na inayokuletea wateja.
Tupo Dodoma, Tanzania
Wasiliana nasi sasa: 0714 659007
Anza leo, jenga biashara yako kesho
